Hlavní navigace

 ChekaTV - Funny & Comedy videos 5.0

ChekaTV ni App yenye Video kibao za kuchekesha Kufurahisha!
Karibu uvunjike mbavu na Video za kuchekesha

ChekaTV ni app iliyosheheni vimbwanga mbali mbali vya uswazi,Kuanzia Video za Kuchekesha,Sms za kuchekesha na picha za kuchekesha
Vichekesho kuhusu bongo fleva , mapenzi pia vipo vingi sana.

Ukiwa na App ya ChekaTV utegemee nini??
------------------------------------------------------
Ukiwa na app yetu ya Vituko Tv tegemea Kudownload video za vichekesho zinazowekwa kila baada ya lisaa limoja,manake zaidi ya video za kuchekesha 20 kila siku pamoja na sms za kuchekesha bila kusahau picha za vituko

ChekaTV tumejipanga kukupa burudani na video hizi sio tu kwamba tunatoa kwa wachekeshaji hapana pia kutoka kwa wasanii wakubwa kama Kundi la wasafi WCB likiongozwa na diamond platnumz ,Rayvanny,harmonize,queen darling ,Alikiba , Wema sepetu,Idriss sultan,vanesaa mdee,wolper stylish,Mange kimambi etc wapo wengi

Ukiwa na ChekaTV unaweza Kudownload video na kushare na marafiki kupitia mitandao ya kijamii kama vile WhatsApp ,Facebook, Instagram etc!!
Pata burudani muda wote ukiwa na app va ChekaTV sasa

Disclaimer : Contents on ChekaTV are Just sharing from public resources available on Internet! ChekaTV does not own anything! For any Remove Please email me trueappsteam@gmail.com

Celkové hodnocení

Průměr hodnocení
3

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Přejít do Google Play

Souhrnné informace o ChekaTV - Funny & Comedy videos

 • Verze programu

  5.0
 • Autor

 • Potřeba instalace

  ne
 • Velikost souboru

  6,6 MB
 • Staženo

  0× celkem
  0× tento měsíc
 • Poslední aktualizace

  24. 10. 2019

Něco jsme propásli?

Dejte nám vědět. Upozornit redakci Stahuj
Velice děkujeme za Vaše podněty