Duka App - Nunua Online, Shopping Mall
1.0.1
Duka app ni nini?
Duka App ni platform maalum inayokuwezesha kununua bidhaa yoyote moja kwa moja kutoka China na Tanzania.
Duka App imekusanya wafanya biashara mbalimbali wa kitanzania na mataifa mengine waliopo China na Tanzania.
Duka App ni kwa ajili ya nani?
• Mtanzania yeyote anayehitaji bidhaa yoyote kutoka China na Ndani ya Tanzania.
• Mfanyabiashara mdogo na mkubwa, wa jumla na reja reja.
Nawezaje kutumia Duka App?
Fuata hatua zifuatazo:
1. Download/Pakua Application hii kwenye simu yako ya mkononi.
2. Fungua Application yetu na utafute bidhaa yoyote unayohitaji.
3. Kwa kila bidhaa utakayoipenda, utakuta maelezo ya bidhaa na muuzaji.
4. Unaweza kununua au kupata maelezo zaidi kwa kuwasiliana na muuzaji kwa njia moja wapo ya hizi:
• WhatsApp
• Instagram
• WeChat
• Facebook
• Twitter
• Phone call
DUKA APP – KWA MAHITAJI YAKO YA KILA SIKU
Celkové hodnocení
Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste
Souhrnné informace o Duka App - Nunua Online, Shopping Mall
-
Verze programu
1.0.1
-
Autor
-
Potřeba instalace
ne
-
Velikost souboru
8,2 MB
-
Staženo
1× celkem
1× tento měsíc
-
Poslední aktualizace
4. 2. 2020