Jinsi ya Kufanikiwa 4.0

Jinsi Ya Kufanikiwa

Utangulizi

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii
- Utajua jinsi ya kufanikiwa.
- Ushauri wa maisha.
- Jinsi ya kuishi.
- Jinsi ya kupata pesa.
- Jinsi ya kutumia pesa n.k.

Wenye Kutumia

- Ulimwengu nzima kama;
- Vijana na watu wazima;
- Wenye wako kwa ndoa;
- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;
- Kenya;
- Tanzania;
- Uganda;
- Sudan;
- Congo;
- Mozambique;
- Australia;
- South Afrika;
- Burundi;
- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.

Mwisho

Download App hi ya Kiswahili ili ujifunze vile unavyo weza kufanikiwa.

Celkové hodnocení

Průměr hodnocení
3

Pro hodnocení programu se prosím nejprve přihlaste

Přejít do Google Play

Souhrnné informace o Jinsi ya Kufanikiwa

  • Verze programu

    4.0
  • Autor

  • Potřeba instalace

    ne
  • Velikost souboru

    5 MB
  • Staženo

    4× celkem
    0× tento měsíc
  • Poslední aktualizace

    9. 7. 2019

Něco jsme propásli?

Dejte nám vědět. Upozornit redakci Stahuj
Velice děkujeme za Vaše podněty